Sale!

UJASIRI by Mayfair Wanja

UJASIRI ni riwaya inayoangazia changamoto ambazo mtoto wa kiume hupitia maishani lakini huweza  kushinda zote na kufanikiwa maishani. Si wanaume tu bali yeyote aliye na ujasiri anaweza kushinda changamoto zote na kufanikiwa maishani.

Original price was: KShs 1,150.00.Current price is: KShs 550.00.

1 in stock