Only logged in customers who have purchased this product may leave a review.
Mende Kabatini na Hadithi Nyingine
Mende Kabatini na Hadithi Nyingine ni mkusanyiko wa kipekee wa hadithi fupi. Umejumuisha waandishi stadi wanaolenga moja kwa moja kwenye kiini cha masuala wanayoyaangazia bila uoga. Miongoni mwa waandishi wanaotambulika kwa haraka ni kama vile Justus Kyalo Muusya, Hesbon Otolo, A. L. Maingi Ndungi na Brian Gitonga. Mkusanyiko huu unachunguza nyanja mbalimbali za maisha kupitia maudhui anuwai na mitindo tofauti ya uandishi. Waandishi wametumia uhuru wa kisanii kwa ubunifu, wakipa kila hadithi nafasi ya kujinasua kutoka kwenye mipaka ya mitazamo. Kila hadithi inajenga ulimwengu wake, ikimpa mwandishi fursa ya kuwasilisha mawazo, hisia na mitazamo kwa namna ya kipekee na isiyotabirika. Kila hadithi inajitokeza kwa mtindo wake wa kipekee, ikimvuta msomaji, kumburudisha na kumpa fursa ya kujifunza kutokana na visa mbalimbali.
Original price was: KShs 800.00.KShs 700.00Current price is: KShs 700.00.
5 in stock
-
Original price was: KShs 1,800.00.KShs 1,500.00Current price is: KShs 1,500.00.






Reviews
There are no reviews yet.