USALITI WA JASHO LA ALOSTO
Usaliti wa Jasho la Alosto ni diwani ya kipekee inayokusanya mashairi mbalimbali yenye mada nzito na zenye mashiko katika ulimwengu wa sasa. Diwani hii inamulika uhalisia wa mambo yanayoikumba jamii,ikigusia kwa upana masuala ya uhifadhi wa mazingira,siasa na changamoto za uongozi. Aidha,mtunzi amechambua kwa kina mitindo na mienendo ya vijana wa leo pamoja na dhana ya ushujaa,akifanya kazi hii kuwa msingi imara wa kioo cha jamii kama ilivyo asili ya fasihi simulizi na andishi.
KShs 1,000.00
Out of stock
Description

Only logged in customers who have purchased this product may leave a review.
No product has been found!
Reviews
There are no reviews yet.