Description
Chozi La heri book by Assumpta K. Matei
“Mungu wangu!
Huyu si ndugu yangu Mwaliko?”alisema Umu kimyakimya. Dick naye alikuwa kaghumiwa, hajui la kusema. Anamtazama mnuna wake kana kwamba ni Mr Super Man katika sinema za kijasiri. Wote wawili walitazamana, kila mmoja akiapa moyoni kuwa amewahi kumwona kiumbe huyu mahali, lakini hakuna aliyethubutu kunena….
Reviews
There are no reviews yet.