Doa la Ndoa na Hadithi Nyingine

Doa la Ndoa na Hadithi Nyingine ni mkusanyiko wa hadithi fupi za kuvutia zilizoandikwa na waandishi ambao wamedhihirisha ukwasi mkubwa wa lugha ya Kiswahili pamoja na ustadi wa kuumudu utanzu wenyewe. Hadithi hizi zinawasilisha mitazamo tofauti kuhusu masuala mazito katika jamii kama vile ajira, mapenzi, ndoa, unafiki, usaliti na tamaa ya mali. Zinaangazia mashaka tipitipi yanayowakumba vijana wa kiafrika na familia za kisasa, zikibainisha uhalisia wa maisha ya binadamu.
Kitabu hiki kimejumuisha simulizi zilizosheheni taharuki ya kusisimua, uwezo wa kubana matukio, mwondoko wa haraka, na ucheshi wa aina yake. Ni kazi inayowalenga wapenzi wa fasihi ya Kiswahili wanaotamani kuzamia masuala muhimu katika maisha ya kila siku kwa mtazamo wa kiafrika.
-13%

Original price was: KShs 800.00.Current price is: KShs 700.00.

Description

Doa la Ndoa na Hadithi Nyingine ni mkusanyiko wa hadithi fupi za kuvutia zilizoandikwa na waandishi ambao wamedhihirisha ukwasi mkubwa wa lugha ya Kiswahili pamoja na ustadi wa kuumudu utanzu wenyewe. Hadithi hizi zinawasilisha mitazamo tofauti kuhusu masuala mazito katika jamii kama vile ajira, mapenzi, ndoa, unafiki, usaliti na tamaa ya mali. Zinaangazia mashaka tipitipi yanayowakumba vijana wa kiafrika na familia za kisasa, zikibainisha uhalisia wa maisha ya binadamu.
Kitabu hiki kimejumuisha simulizi zilizosheheni taharuki ya kusisimua, uwezo wa kubana matukio, mwondoko wa haraka, na ucheshi wa aina yake. Ni kazi inayowalenga wapenzi wa fasihi ya Kiswahili wanaotamani kuzamia masuala muhimu katika maisha ya kila siku kwa mtazamo wa kiafrika.

Reviews

There are no reviews yet.

Only logged in customers who have purchased this product may leave a review.