Kufa Kuzikana Ken Walibora

Ni hadithi ya urafiki kati ya vijana wawili, Akida na Tim, wanaotokakwenye makabila yenye uadui.

KShs 1,100.00

In stock

Description

Kufa Kuzikana Ken Walibora

Ni hadithi ya urafiki kati ya vijana wawili, Akida na Tim, wanaotokakwenye makabila yenye uadui.

Ni hadithi ya migogoro, migongano, vikwazo na vizingiti katika uhusianowao.Je, urafiki wao huo unaweza kuvistahimili vishindo hivyo?Je, ni urafiki wa kinafiki au una nguvu ambazo havishindiki?Inasimulia masuala nyeti kama vile ukabila na utamaduni, maadili namapenzi, usawa wa kijinsia na uhuru wa mtu binafsi, kwa uwazi na uchesiwa kupigiwa mfano.

ISBN: 9789966497543?SKU: 2010143000058

Reviews

There are no reviews yet.

Only logged in customers who have purchased this product may leave a review.