Mayai waziri wa Maradhi na Hadithi Nyingine

Mayai waziri wa Maradhi na Hadithi Nyingine ni diwani inayojumlisha hadithi fupi zinazoakisi
hall halisi katika jamii za Afrika Mashariki. Ni hadithi ambazo zinamfanya msomaji akereke na
kuungulika kwa kuiona dhiki, unafiki na uovu uliotamalaki katika matendo ya waja. Ni hadithi
zinazofichua uozo na uovu wa kisiasa, kiuchumi na kijamii; hadithi zinazokemea matendo
yasiyokuwa na uadilifu na zinazofichua uthori na ubaya ahasi ulioshamiri katika jamii zetu.

KShs 750.00

In stock

Description

Mayai waziri wa Maradhi na Hadithi Nyingine

ni diwani inayojumlisha hadithi fupi zinazoakisi hali halisi katika jamii za Afrika Mashariki. Ni hadithi ambazo zinamfanya msomaji akereke na kuungulika kwa kuiona dhiki, unafiki na uovu uliotamalaki katika matendo ya waja.

Ni hadithi
zinazofichua uozo na uovu wa kisiasa, kiuchumi na kijamii; hadithi zinazokemea matendo
yasiyokuwa na uadilifu na zinazofichua uthori na ubaya ahasi ulioshamiri katika jamii zetu.

Reviews

There are no reviews yet.

Only logged in customers who have purchased this product may leave a review.