Description
Nasikia Sauti ya Mama book by Ken Walibora
Naskia sauti ya mama ndiyo kazi yake ya usimulizi wenye uwazi, ujasiri na umbuji. Uzuri wa kisanaa wa tawasifu hii unashadidia ukweli usiokanushika kwamba mwandishi huyu ,ataendelea kutamba kwa miaka na mikaka katika medani ya fasihi ya Kiswahili.