Description
Ni mzazi kindakindaki. Ameniondolea janaa ya kuitwa mwana msi baba. Sasa nayafurahia mazingira matulivu. Yote ni kwa neema. Ile ndoa ya patashika baina ya Patashika na mama ikanitoka kabisa. Nikawa nimepoa na kutulia katika…
Ndoa ya Patashika ni riwaya inayoangazia masuala tata yanayojitokeza katika ndoa. Aghalabu, kila ndoa huwa na changamoto zayo na ndiye maana mwandishi ameyaweka tashtiti mambo yanayowaudhi wahusika katika ndoa zenye hali hizo.
Reviews
There are no reviews yet.