Description
Kila Jambo Lina wakati wake,Ila NYAKATI hizi uja na kupita huku zikituachia kumbukumbu nyingi za maisha.
NIA NELSON binti msomi na mrembo haswaa,Ila NYAKATI zake zinajaa huzuni vilio na simanzi nyingi tangu alipo kuwa binti mdogo mpaka sasa akiwa mama na mke.
Maisha ambayo yanamfanya kuwa jasiri na mahili wa kupambania kilicho chake.Na akiwa katikati ya safari ya mafanikio yake ,serikali ya jamhuri inampeleka masomoni ughaibuni na kumpa kazi kazi ya Siri inayopelekea kwenye uadui,visasi na vifo vya wapendwa wake.
Hakika znakua NYAKATI ngumu mno kwake kuamua ni lipi atekeleze,na asimame upande upi Kati ya serikali na familia !?
Fuatilia/soma kurasa hizi Mia mbili ishirini za muandishi kujua undani wa simulizi hii yenye kusisimua na kuvuta hisia haswa
Reviews
There are no reviews yet.