Tata za Asumini book by Said A. Mohamed

Tata za Asumini book by Said A. Mohamed.

… Zuzu limeerevuka labda, au pengine erevu limezuzuka.

Hata yeye Asumini hakuwa na hakika kama alikuwa

ZUZU

KShs 890.00

Description

Tata za Asumini book by Said A. Mohamed.

… Zuzu limeerevuka labda, au pengine erevu limezuzuka.

Hata yeye Asumini hakuwa na hakika kama alikuwa

ZUZU

au erevu! Alilokuwa na hakika nalo ni kwamba dani ya nafsi yake mmeota mawazo yaliyo-kuwa yakikua mfululizo – nafsi ilizungumza na nafsi mijadala na mabishano, kataa na kubali, lia na nyamaza, hamu na juta, faa na haifai, na ukomo, wakati mwingine ulimfikisha katika kutaka kurudi nyumbani na kisha ku-ghairi tena. Na baadaye kuanza tena upya: kujisaili na kujijibu, kujijadili na kubishana, kukubali na kukataa…

siku zikapita, mpaka …”

… Hivyo ndivyo tunamkuta Asumini, mwanagenzi wa dunia chafu na ngumu: tunamkuta kanaswa katika “tata”

ke in vuta n’kuvute tupul

inayotaka ifuate malezi mema ya kuepuka kunajisiwa.

Nie, kuna mchuchio mwingine; nguvu tuseme, nguvu zinazomchochea awe mchafu kama walivyo wengine.

Huku kakamatwa anavutwa na nguvu za dani, na huku kakamatwa anavutwa na nguvu za nje; kasi, kasi, kasi …

hadi anararukararuka!

Mwandishi wa riwaya hii ameandika vitabu vingi vya riwaya, tamthilia, ushairi na tahakiki ya fasihi. Baadhi ya kazi zake mashuhuri ni Asali Chungu, Utengano, Dunia Mti Mkavu, Sikate Tamaa, Kina cha Maisha, Pungwa, Mwongozo wa Kilio cha Haki… Karibuni hivi, mwezi wa Disemba, 1988, alitunukiwa zawadi ya Uandishi bora kitaifa.

Additional information

Weight 0.3 kg

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Tata za Asumini book by Said A. Mohamed”